Description
Hii hapa Toyota Hilux Double Cab Pickup Maalum kwa Uwindaji Wanyama Pori.
- Model/Mwaka: Toyota Hilux Double Cab Pickup / 2017
- Miliki ya Awali: Idara ya misitu England
- Historia ya Huduma: Full Service History (Historia kamili ya matengenezo)
- Hali ya Kiufundi: Been well maintained mechanically, Chassis is very good all over, Ready for work, bodywork has dents.
- Gia: Manual 6 speed gearbox with Hi/Low and 2/4wd
- Uwezo wa Kuvuta (Towing): 3.5 Tons towing capacity
- Matairi: NEW BF Tyres fitted (Matairi mapya kabisa)
- Vifaa Maalum (Maandalizi ya Uwindaji/Ulinzi): Rear winch fitted in canopy, Gun Turret in canopy, Light force Hunting Light on roof, Rear Dog Compartment, Gun Cabinet lockable.
- Hati za Gari: MOT hadi August 26.
- Gari liko: Ulaya.
- Usafirishaji kwa meli (RORO): wiki 5–7 hadi Dar es Salaam.
Muhtasari wa Bei (TZS):
- BEI MPAKA BANDARINI DAR : TZS 45,000,000/=
- USHURU (Kodi ya TRA Value Check): TZS 30,960,784.57
- BEI “MKONONI” DAR (Ikiwa imefanyiwa Clearing): TZS 78,500,000/=
- Kiwango cha Ubadilishaji: Bei ni kwa mujibu wa Kiwango cha Ubadilishaji: GBP 1 = TZS 3,437.78
Wasiliana nasi ili kuendeleza hatua za manunuzi na uhakiki wa nyaraka.
- Moses Ninkambazi Mndeme (Mkurugenzi – MEA)
- Ofisini: +255 692 652 864 (Nane Nane, Njiro – Arusha)
- WhatsApp Rasmi: +255 741 837 926
- Email: info@meachinery.com
- Website: www.meachinery.com

























Reviews
There are no reviews yet.