Description
Hili hapa lori la SCANIA R450 lenye umri mdogo na sifa bora:
- Model/Mwaka: SCANIA R450 / 2016
- Mileage: Kilomita 508,894
- Engine: NON EGR Engine, Ad Blue, Engine Brake, 450 HP
- Gia: 2 Pedal Auto Gearbox (Otomatiki)
- Vifaa vya Cabin: Twin Bunk, Air Con, Radio, Fridge Freezer, Camera System
- Vifaa vya Nje: Sliding 5th Wheel, Rear Mounted Battery
- Matairi: 4 New Drive Tyres & 2 New Steer Tyres (Matairi 6 mapya!)
- Hali ya Jumla: Very well maintained truck, liko vyema sana
- Gari liko: Ulaya.
- Usafirishaji kwa meli (Flatrack): wiki 5–7 hadi Dar es Salaam.
Muhtasari wa Bei (TZS)
- BEI MPAKA BANDARINI DAR (CIF): TZS 105,000,000/=
- USHURU (Kodi ya TRA Value Check): TZS 31,331,337.78
- BEI “MKONONI” DAR (Ikiwa imefanyiwa Clearing): TZS 139,500,000/=
- Bei ni kwa mujibu wa Kiwango cha Ubadilishaji: GBP 1 = TZS 3,437.78
Wasiliana nasi ili kuendeleza hatua za manunuzi na uhakiki wa nyaraka:
Moses Ninkambazi Mndeme (Mkurugenzi – MEA)
- Ofisini: +255 692 652 864 (Nane Nane, Njiro – Arusha)
- WhatsApp Rasmi: +255 741 837 926
- Email: info@meachinery.com
- Website: www.meachinery.com
















Reviews
There are no reviews yet.