Description
2014, SCANIA R450, 6X2 REARLIFT HIGHLINE TRACTOR UNIT
-
- Modeli/Mwaka: SCANIA R450 (R-Cab) / 2014 (64 Plate)
- Engine/Nguvu: 450 Horsepower (hp)
- Mileage: 726,000 km
- Hali ya Jumla: Lori la Kampuni moja kwa moja (Direct Company Truck), Limehudumiwa na kufanyiwa matengenezo bila kujali gharama. Lina MOT (UK) hadi 31/01/2026.
- Configuration: 6×2 (Rear Tag Axle)
- Vifaa Maalum: PTO / Tipping Gear, Double Sleeper Cab, Air Con Pod, Betri Zilizowekwa Nyuma (Rear Mounted Batteries).
- Nyaraka Zilizopo: Full V5, Funguo 2. Matairi 70%.
- Hali ya Uendeshaji: Linaanza na kuendesha vizuri sana.
- Liko wapi: Ulaya.
MUHTASARI WA BEI (TZS)
- BEI MPAKA BANDARINI DAR (Kabla ya ushuru): TZS 69,000,000.00.
- USHURU (Kodi ya TRA Value Check): TZS 31,638,136.79.
- BEI “MKONONI” DAR (Ikiwa imefanyiwa Clearing): TZS 105,000,000.00.
Kiwango cha Ubadilishaji: Bei ni kwa mujibu wa Kiwango cha Ubadilishaji: GBP 1 = TZS 3,450.57.
MAWASILIANO RASMI YA MEA
- Jina: Moses Ninkambazi Mndeme (Mkurugenzi – MEA)
- Ofisini (Namba Kuu): +255 692 652 864 (Nane Nane, Njiro – Arusha)
- WhatsApp Rasmi: +255 741 837 926
- Email: info@meachinery.com

























Reviews
There are no reviews yet.