Description
Hili hapa Scania G450 XT (6×2) lenye umri mdogo na sifa bora.
- Model/Mwaka: SCANIA G450 (G SERIES) / 2020 (70 Plate)
- Engine: 12,742 ccm, 450 Horsepower (Bhp)
- Gia: Automatic Gearbox
- Mileage: 836,856.8 Kilometers
- Emission: Euro 6
- Historia: Full Scania History
- Usafirishaji: Flat Rack (muda wa kufika Dar es Salaam ni wiki 5–7).
- Hali ya Jumla: Excellent condition throughout.
- Gari liko: Ulaya.
Muhtasari wa Bei (TZS)
- BEI MPAKA BANDARINI DAR (Kabla ya ushuru): TZS 118,500,000/=
- USHURU (Kodi ya TRA Value Check): TZS 45,532,292.81
- BEI “MKONONI” DAR (Ikiwa imefanyiwa Clearing): TZS 169,000,000/=
- Kiwango cha Ubadilishaji: Bei ni kwa mujibu wa Kiwango kipya cha Ubadilishaji: GBP 1 = TZS 3,450.57
Wasiliana nasi ili kuendeleza hatua za manunuzi na uhakiki wa nyaraka.
- Moses Ninkambazi Mndeme (Mkurugenzi – MEA)
- Ofisini: +255 692 652 864 (Nane Nane, Njiro – Arusha)
- WhatsApp Rasmi: +255 741 837 926
- Email: info@meachinery.com


























Reviews
There are no reviews yet.