Description
Ofa ya Gari – Mercedes-Benz Actros 2545 BigSpace (2014)
Modeli: Mercedes-Benz Actros 2545 BigSpace
Mwaka: 2014 (64 Plate)
Uendeshaji: RHD (Right-Hand Drive)
Nguvu ya Injini: 450 hp
Muundo (Configuration): Tractor Unit
Hali: Bado ipo kwenye matumizi ya kila siku, inaendesha vizuri kabisa
Cabin: BigSpace cab yenye nafasi kubwa na starehe
Huduma: Imekuwa ikifanyiwa matengenezo kamili na ukaguzi kila baada ya wiki 6
Mahali: Uingereza → CIF Dar es Salaam
Muda wa usafirishaji: Takribani wiki 5–7 kwa flat-rack hadi Dar es Salaam
Bei
-
BEI KUFIKA BANDARINI DAR (Kabla ya Ushuru): TZS 45,000,000/=
(Bei hii imetokana na kiwango cha ubadilishaji wa Paundi ya Uingereza (GBP) kwa TZS 3,529.55) -
USHURU (TRA – TOTAL TAXES): TZS 44,277,594.67
(Marejeo: TRA Import Duty Calculator)
Gari lipo tayari kwa kazi mara moja!
Mawasiliano
Moses Ninkambazi Mndeme
+255 692 652 864
WhatsApp +255 762 026 565
info@meachinery.com
www.meachinery.com












Reviews
There are no reviews yet.