Description
DAF XF105.460 (2013) TRACTOR UNIT – EURO 5
- Mwaka: 2013
- Model: XF105.460 Tractor Unit
- Horse Power: 460 HP
- Gia: 12 Speed ZF Automatic Gearbox
- Axles/Drive: 6×2 Midlift Axle
- EURO: EURO 5 Engine Rating
- Drive: Right Hand Drive (RHD)
- Cabin: Super Space Cab (Cabin kubwa yenye nafasi)
- Sifa/Mengineyo: Double Sleeper, Air Condition, Fridge, Radio/Stereo, 632,000km, 70% Tyres, Engine Brake
- Hali: Iko vizuri sana – Imetoka kwa kampuni kubwa ya usafiriji
- Gari liko: Ulaya.
- Usafirishaji kwa meli (Flatrack): wiki 5–7 hadi Dar es Salaam.
Muhtasari wa Bei (TZS)
- BEI MPAKA BANDARINI DAR (Kabla ya Ushuru): TZS 49,950,000/=
- USHURU (Kodi ya TRA Value Check): TZS 21,835,889.04
- BEI “MKONONI” DAR (Ikiwa imefanyiwa Clearing): TZS 75,000,000/=
- Bei ni kwa mujibu wa Kiwango cha Ubadilishaji: GBP 1 = TZS 3,437.78 .

Mawasiliano:
Moses Ninkambazi Mndeme (Mkurugenzi – MEA)
- Ofisini: +255 692 652 864 (Nane Nane, Njiro – Arusha)
- WhatsApp Rasmi: +255 741 837 926
- Email: info@meachinery.com
- Website: www.meachinery.com



















Reviews
There are no reviews yet.