2003 Volvo FM12 -380 | 8×4 Flatbed/Lowbed with ramps

TZS89,000,000

Category:

Description

Modeli: Volvo FM12 380
Mwaka: 2003
Uendeshaji: RHD (Right-Hand Drive)
Nguvu ya Injini: 380 hp (D12D engine)
Gia: 12-Speed Manual
Muundo (Configuration): 8×4 Flatbed/Lowbed with ramps
Umbali/Masaa:
Hali: Nzuri, imepata ukaguzi (test) mpya wa mwaka mzima wiki iliyopita

Matengenezo Makubwa (2024):

  • Kubadilisha seti nzima ya air bags

  • Kufunga lift bag mpya

  • Kubadilisha king pins

  • Clutch & flywheel mpya

  • Huduma zingine kubwa zimefanyika

Mahali: Uingereza → CIF Dar es Salaam

Ukaguzi: Ripoti kamili ya ukaguzi inapatikana kwa maombi

Usafirishaji: Takribani wiki 5–7 kwa flat-rack hadi Dar es Salaam

Mawasiliano: info@meachinery.com | +255 692 652 864


BEI KUFIKA BANDARINI DAR (Kabla ya Ushuru): TZS 89,000,000
Bei ni kwa mujibu wa mauzo ya Paundi ya Uingereza (GBP) kwa TZS 3,529.55.

USHURU: TOTAL TAXES (TSHS): 32,744,783.62
(Marejeo: TRA Import Duty Calculator)

2003 Volvo FM12 380hp, 8×4 Flatbed/Lowbed with ramps, RHD – imara na tayari kwa kazi kubwa
2003 Volvo FM12 | Flatbed/Lowbed 8×4 – Bei Nafuu, Hali Nzuri!

Brand

Volvo

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “2003 Volvo FM12 -380 | 8×4 Flatbed/Lowbed with ramps”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Product Enquiry

This is a short description

Name*

Email*

Enquiry*

Product Enquiry

Read more

× How can we help you?